Katibu mkuu wa chadema Dkt Vincent Mashinji ametakiwa kuripoti kwa mkurugenzi wa upelelezi, mashitaka na makosa ya jinai nchini (DCI)
Dkt Vincent Mashinji anakwenda kuripoti kipindi ambacho mkurugenzi wa oparesheni na mafunzo wa chama cha chadema , Kigaila Benson anaendelea kushikiliwa na jeshi la polisi Manda maalum ya Dar es salaam.
Akizungumza na kulunzifikra blog leo mwanasheria wa chadema Fredrick Kihwelo amesema "Katibu mkuu wa chadema ametakiwa kuripoti kwa mkurugenzi wa mashitaka DCI. Kwa sasa mimi natoka hapa kwa Kigaila nakwenda makao makuu ya ofisi za chama"
Amesema Kigaila kupata dhamana au kupelekwa mahakamani litajulikana leo baada ya kutakiwa kurudi kituo kikuu cha polisi.
Kihwelo alipoulizwa ni mini sababu ya ya kuitwa kwa Dkt Mashinji kwa DCI amesema nitakuwa ni mwendelezo wa mahojiano na jeshi la polisi kuhusu tuhuma za kutoa lugha za uchochezi alipozungumza na wanahabari oktoba 12,2017 makao makuu ya Chadema kuhusu afya ya Tundu Lissu.
Kigaila ambaye ameshafikisha saa 72 akiwa rumande tangu alipojisalimisha kituoni hapo jumatatu oktoba 23,2017 na kuhojiwa kwa kutoa lugha za uchochezi alipozungumza na wanahabari oktoba 12,2017 makao makuu ya Chadema.

No comments:
Post a Comment