Mbunge wa Bunda Mjini Ester Amos Bulaya, amesema matukio hatarishi ya kiusalama yanayowatokea baadhi ya wabunge wa CHADEMA likiwemo la Lissu na Lema, ililikuwa limkute na yeye ispokuwa aliwahi kujisalimisha polisi.
Akizungumza na mwandishi wa habari wa kulunzifikra blog , Ester Bulaya amesema aliwahi kufuatiliwa na gari ambao alikuwa na mashaka nalo akielekea mkoani Arusha, hali ambayo iliibua hofu kwake na dereva wake, na kwenda kujisalimisha katika kituo cha polisi cha Usa River.
Ester Bulaya amesema siku hiyo wakiwa njiani kuelekea Arusha, dereva wake akamwambia anaona kuna gari inawafuatilia, na walipowakaribia walishusha kioo upande aliokaa Ester Bulaya, na ndipo akaongeza spidi zaidi kuweza kuwatoka na kwenda kuingia polisi kutoa taarifa, na kuwapa ulinzi.
Tuesday, 3 October 2017
Home
Unlabelled
Ester Bulaya: Janga la Tundu Lissu ilikuwa linipate mimi
Ester Bulaya: Janga la Tundu Lissu ilikuwa linipate mimi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment