Dar es Salaam. Klabu ya Simba leo imetangaza majina ya wajumbe watano watakaosimamia mchakato wa uuzaji hisa za klabu hiyo.
Wanachama wa Simba katika mkutano wao mkuu uliofanyika mwezi uliopita walikubaliana kubadili mfumo wa uendeshaji wake.
Wajumbe hao watano wataongozwa na jaji mstaafu Thomas Mihayo, Wakili Damas Ndumbaro, Mbunge wa Ilala, Musa Azzan 'Zungu', Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo, Abdulrazack Badru pamoja na mtaalamu wa manunuzi, Yusuph Majid.
Afisa habari wa Simba, Haji Manara alisema kamati hiyo itakuwa huru na kazi yake itafanyika kwa kuzingatia weledi.
"Uuzwaji huo utafanyika kwa kuzingatia sheria za nchi. Tuna imani kubwa na timu hii tuliyoiunda kwa sababu ina watu wabobezi," alisema Manara.
Monday, 4 September 2017
Home
Unlabelled
Simba yaunda kamati ya kuuza hisa zake
Simba yaunda kamati ya kuuza hisa zake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment