Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kikijiwinda na mchezo wa tatu wa ligi kuu dhidi ya wachimba almas wa Mwadui kutoka shinyanga mechi itakayopigwa dimba la Uhuru jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili.
Kocha msaidizi wa klabu hiyo mganda Jackson Mayanja anazungumzia kuelekea mchezo huo ambapo pia atakosa huduma ya nyota wake watatu kwa matatizo mbalimbali ya kiafya.
Wachezaji ambao watakosekana ni pamoja na kiungo fundi Mnyarwanda Haruna Hakizimana Fadhil Nyionzima, mshambuliaji Juma Luizio ambao wanasumbuliwa ugonjwa wa Malaria pamoja na beki kiraka Shomari Kapombe ambaye anamajeruhi ya muda mrefu ya nyonga na kifundo cha mguu.
Thursday, 14 September 2017
Home
Unlabelled
Niyonzima, Luizio na Kapombe kuikosa Mwadui
Niyonzima, Luizio na Kapombe kuikosa Mwadui
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment