Mbunge wa Jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa watu wanaanza kumchambua yeye kuanzia kwenye Uwaziri wanakuwa wamekosea yeye ameanza kuongea akiwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa 2002 hivyo anaemjua tangu kipindi hicho kwasasa atakuwa anamshangaa kwasababu amekuwa mpole sana.
Mhe. Nape ameyazungumza hayo katika mahojiano yake na Bongo5 aliyoyafanya hivi karibuni mjini Dodoma ambapo amesema alikuwa ni mtu anaeongea anacho kiamini.
“Kuna watu wanaanza kumchambua Nape kuanzia kwenye Uwaziri ukianzia hapo utakosea, mchambue Nape mimi nimeingia kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya taifa 2002 kwa mara ya kwanza miaka 15 sasa ndio nimeingia kwa mara ya kwanza kuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu na nadhani nilikuwa ni mjumbe wa Mahakama Kuu niliyekuwa vocal katika watu ambao nilikuwa na speak my mind naongea ninacho kiamini actually nilianzi pale kwahiyo kwa mtu anaenijua ananishangaa leo nimekuwa mpole sana nimekuwa sisemi sana wakati huo nilikuwa nasema sana,” alisema Nape.
Friday, 15 September 2017
Home
Unlabelled
Nape Nnauye: Nimekuwa mpole sana
Nape Nnauye: Nimekuwa mpole sana
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment