Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amemjia juu Spika wa Bunge, Job Ndugai
akimtaka kuacha kudanganya kuwa ndege iliyomsafirisha Tundu Lissu ilikodiwa na mbunge wa CCM.
Maelezo ya Mchungaji Msigwa yamekuja saa chache baada ya Spika Ndugai kueleza bungeni kuwa mbunge wa CCM ndiye aliyeagiza ndege kutoka Nairobi kwa gharama za dola za Marekani 9,200 kumsaidia Lissu halafu atakuja kurudishiwa.
Baada ya maelezo hayo Msigwa ambaye yuko na Lissu kwenye matibabu jijini Nairobi ameandika, “Spika Ndugai muogope Mungu, usilete utani katika maisha ya Mh Lissu, umeliongopea Bunge na umma, gharama zote za ndege zimelipwa na Chadema na Watanzania. The parliament deserve better than you!
Thursday, 14 September 2017
Home
Unlabelled
Mchungaji Peter Msigwa amjia juu spika Ndugai kuhusu gharama za Li
Mchungaji Peter Msigwa amjia juu spika Ndugai kuhusu gharama za Li
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment