Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Mwadui FC - KULUNZI FIKRA

Sunday, 17 September 2017

Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Mwadui FC

Hiki ndicho kikosi cha simba kitakachoanza kwenye mechi ya Simba dhidi ya Mwadui FC hii leo kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Wachezaji watakao anza katika mchezo huo dhindi ya Mwadui FC ni:-

Aishi Manula,Ally Shomari, Mohammed Hussein, Juuko Murshid, Salum Mbonde, James Kotei, Nicholas Gyan, Mzamiru Yassin, John Bocco, Emmanuel Okwi na Shiza Kichuya.

Na wachezaji walioko sabu ni

Emmanuel Mseja, Method Mwanjale, Mwinyi Kazimoto, Laudint Mavugo, Said Hamid Ndemla , Jonas Mkude na Jamal Mwambeleko

Kwenye bechi la ufundi kikosi hicho cha Simba kinongozwa na kocha mkuu Joseph Omog na kocha msaidizi Jackson Mayanja.

No comments:

Post a Comment

Popular