Rais mstaafu kikwete aonesha mifugo anayofuga kijijini Msoga,Chalinze - KULUNZI FIKRA

Tuesday 22 August 2017

Rais mstaafu kikwete aonesha mifugo anayofuga kijijini Msoga,Chalinze


                                               Ng'ombe wa kienyeji
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete baada ya ya kuonesha mafanikio yake katika kilimo, Leo ameonesha mifugo yake (Ng'ombe) anaowafuga kijijini Msoga, Chalinze.
                                           Ng'ombe wa kisasa( maziwa)
Ghala la kuhifadhia chakuka cha mifugo

No comments:

Post a Comment

Popular