Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zimewaka moto alfajiri - KULUNZI FIKRA

Saturday 26 August 2017

Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zimewaka moto alfajiri







Ofisi za IMMMA Advocates za wanasheria Fatuma Karume na Lawrence Masha zimewaka moto alfajiri ya leo.


"Tumepata  janga kubwa la moto, ofisi yetu imepigwa Bomu na watu wasio julikana, uharibifu mkubwa umetokea, polisi wengi wapo wakiendelea na uchunguzi, nimefika hapa toka saa 9, mtuombee" amesema Fatuma Karume.

No comments:

Post a Comment

Popular