Wafanyabiashara wa soko jipya lililoungua, wadai kuwa serikali ndiyo iliyounguza soko lao ili wahamie katika soko jipya lililojengwa na serikali la mwanjelwa,
Pia wanalalamikia kuwa wanahamishwa sido kwa sababu mfanyabiashara maarufu nchini ameuziwa soko hilo ili ajenge hapo. Hivyo wamegoma kupangiwa na halmashauri kuondoka hapo

No comments:
Post a Comment