Mkazi wa Kijiji cha Kerende Kata ya Kemambo wilaya ya Tarime mkoani Mara, Mussa Martine 17 amekutwa amekufa katika kituo cha polisi cha Nyangoto wilayani humo kwa kile kinachodaiwa kujinyonga.
Kwa mujibu wa mmoja wa majirani. Juma Nkome, marehemu alikuwa akiishi na bibi yake, alikutwa amejinyonga juzi kwa kutumia shati lake usiku wa kuamkia Agosti 22.
Inadaiwa kwamba alishikiliwa na polisi Agosti 21 kwa tuhuma za kujihusisha na tukio la ubakaji lililotokea miezi miwili iliyopita.
Kamanda wa Polisi Tarime/Rorya Henry Mwaibambe hakupatika kuzungumzia tukio hilo baada ya simu yake ya kiganjani kuita bila kupokelewa.
Wednesday, 23 August 2017
Home
Unlabelled
Mara,Tarime: Mtuhumiwa ajinyonga kwa kutumia shati lake mahabusu
Mara,Tarime: Mtuhumiwa ajinyonga kwa kutumia shati lake mahabusu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment