Majambazi 13 wauawa kibiti wakutwa na Bunduki 8 pamoja na pikipiki 2 - KULUNZI FIKRA

Thursday, 10 August 2017

Majambazi 13 wauawa kibiti wakutwa na Bunduki 8 pamoja na pikipiki 2

Watu 13 wanaodaiwa kuwa ahalifu wameuawa na Askari wa Jeshi la Polisi. Watu hao wamekutwa na Bunduki nane, Pikipiki mbili pamoja na Begi moja la nguo.

Tukio hilo limetokea katika maeneo ya Tangibovu Kijiji cha Milaweni, huko Kibiti Mkoani Pwani.

No comments:

Post a Comment

Popular