Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Manispaa ya Iringa kimepata pigo baada ya madiwani watatu kujivua uwanachama na udiwani kutokana na changamoto zilizopo kwenye chama hicho.
Hiyo imetokeo leo wakati wa Katibu mkuu wa chama hicho Vincent mashinji akiwa ziarani mkoani Iringa kwa ajili ya kuimalisha na kukijenga chama kwa kuweka mikakati madhubuti ya kuongea wanachama na utendaji wa madiwani na wabunge wa hao.
Wakizungumza na waandishi wa habari madiwani hao ambao ni Leah mleleu,Baraka kimata na Husna Daudi walisema kuwa wameamua kuchukua jukumu hilo zito kutokana na udikteta unaofanywa na viongozi wa chama hicho hapa Manispaa ya Iringa.
Kimata alisema kuwa madiwani wa chama cha CHADEMA Manispaa ya Iringa wamekuwa wakimnyeyekea mbunge.
Kikubwa kilichosemwa na madiwani wote ni uongozi wa kidikteta unaoendelea ndani ya chama hicho na huku viongozi wa juu wa chama hicho wakiwa kimya.
Wednesday, 23 August 2017
Home
Unlabelled
Madiwani watatu wa chadema manispaa ya Iringa wajivua uanachama na udiwani
Madiwani watatu wa chadema manispaa ya Iringa wajivua uanachama na udiwani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Wakati leo hii Rais mteule wa Kenya, Uhuru Kenyatta akiapishwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne, Mhe. Jakaya Kikwete ametoa sababu kushin...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...
No comments:
Post a Comment