Hali ya Mbunge Esther Bulaya yazidi kuwa mbaya - KULUNZI FIKRA

Sunday, 20 August 2017

Hali ya Mbunge Esther Bulaya yazidi kuwa mbaya

Taarifa kutoka kwa mbunge wa viti maalum was mkoa wa Mara, Joyce Sokombi ameiambia kulunzifikra blog, kuwa hali ya Mbunge wa Bunda mjini Esther Bulaya ni mbaya sana na anashindwa kupumua.
Juhudi za  kumuamishia hospitali ya rufaa ya Bugando zimegonga mwamba kutokana na madaktari katika hospitali ya wilaya ya Tarime kusema hawana mamlaka hadi mkuu wa wilaya atoe Kigali.
Aidha mbunge Joyce Sokombi ameiambia kulunzifikra blog juhudi za kumpata mkuu wa wilaya na kamanda wa polisi zimegonga mwamba kutokana na wawili hao siku zao hazipatikani.

No comments:

Post a Comment

Popular