Mkuu Wa shule ya sekondari bondeni inayomilikiwa na taasisi ya dini ya Bakwata,jijini Arusha Rahimu Masawe amekiona cha moto Mara baada ya ofisini yake kugeuka lokapu ya kumsurubu baada ya walimu wake kumfungia ndani ya ofisi hiyo kwa zaidi ya SAA sita kama njia moja wapo ya kushinikiza awalipe malimbikizo ya mishahara yao ya miezi mitatu mfulurizo .
Walimu hao zaidi ya 15 walifikia uamuzi huo mapema Leo alhamisi des 7. baada ya kushindwa kuelewana katika kikao cha majadiliano kilichofanyika katika ofisi ya Mkuu huyo na ndipo walipoamua kumfungia ndani kwa makomeo na makufuri wakitaka pesa zao za mishahara Wa tangu September ,ambapo kwa ujumla wao inafikia sh,milioni 10.
Shule hiyo ya bondeni ni mqli ya Bakwata ila imebinafisishwa kwa mwekezaji Wa kampuni ya Zaim education development ltd ambaye ameitelekeza tangu akabidhiwe September mwaka huu.

No comments:
Post a Comment