Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru amepata ajali ya gari. - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 12 December 2017

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Meru amepata ajali ya gari.

 
Mwekinyekiti wa Halmashauri ya Meru Wily Joseph Njau pamoja na Mdogo wake wamepata ajali wakiwa njiani kuelekea hospital ya Kcmc kumjulia hali Baba yao aliyelazwa hospitalini hapo.

Ajali hiyo imetokea maeneo ya njia panda ya masama baada ya kugongana na Gari aina ya hilax akiwa na Gari ndogo.

Nimeongea na Mhe Njau kwa simu ameniambia anaendele vizuri ila amevunjika vidole 3 Vya mkono na majeraa madogo madogo wote wanaendelea na matibabu hospital ya Kcmc

Tunaendelea kuwaombea majeruhi ili Mungu awape wepesi waendelee na shunguli za ujenzi wa Taifa

No comments:

Post a Comment

Popular