Mkurugenzi mtendaji wa TBC Ayub Rioba amepata ajali. - KULUNZI FIKRA

Tuesday, 20 March 2018

Mkurugenzi mtendaji wa TBC Ayub Rioba amepata ajali.

Mkurugenzi mtendaji wa TBC , ndugu Ayub Rioba amepata ajali ya gari Leo March 20, 2018, katika eneo la Magomba Wilayani Kasulu mkoani Kigoma, Ndugu Ayub Rioba alikuwa anatoka Kibondo kuelekea mkoani Kigoma.

Kamanda wa polisi mkoani Kigoma, Martin Ottieno amesema kuna watu wawili wanahofiwa kufariki katika ajali hiyo.

Pia Kamanda Ottieno amesema ndugu Ayub Rioba yeye amepata majeraha madogo madogo.

No comments:

Post a Comment

Popular