Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Ndugu Lazaro Nyalandu amemtembelea aliyekuwa Mgombea urais 2015 na Waziri Mkuu Mstaafu. Mhe Edward Lowassa ofisini kwake, Mikocheni Jijini Dar es salaam nan kupanga namna ya kuimarisha umoja ndani ya upinzani.
Ndugu Lazaro Nyalandu ametumia mtandao wake wa kijamii kuweka ujumbe huo akiambatanisha na picha ya kiongozi huyo ambaye kwa sasa ni mjumbe ndani ya kamati kuu ya Chadema.
"Nimefanya mazungumzo na Mhe Edward Lowassa kuhusu umuhimu wa kuimarisha umoja miongoni kwa vyama vya upinzani nchini. Tanzania kuelekea 2020. Wazee watawalao vyema, wanastahili heshima maradufu. Asante sana Mh. Edward Lowassa" amesema Ndugu Lazaro Nyalandu.
Mhe Lowassa pamoja na Ndugu Lazaro Nyalandu wote waliwahi kuwa viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wote tayari wametoka ndani ya chama hicho.
Mhe Lowassa kwa sasa tayari mwanachama halali wa CHADEMA na Ndugu Nyalandu tayari ameshaweka nia ya kuhamia CHADEMA tangu alipojiuzulu mapema wiki iliyopita huku ingawa mpa sasa bado hajachukua kadi ya chama hicho.

No comments:
Post a Comment