KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda ameueleza mtandao huu kwamba, amefanya mazungumzo na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanzania, Tundu Lissu anayendelea na matibabu jijini Nairobi nchini Kenya.
Kiongozi huyo wa dini ametoa kauli hiyo jana baada ya kuulizwa na kulunzifikra blog kuhusu safari na malengo yake nchini Kenya ambapo amesema, ilihusu masuala ya kijamii.
“Nikiwa kwenye safari yangu ya masuala ya kijamii nchini Kenya, nimeonana na Mheshimiwa Lissu hospitalini alikolazwa, nilienda kumjulia hali na kufanya naye mazungumzo.”
Sheikh Ponda amesema “Kwa kweli tukio la Mheshimiwa Lissu linaumiza, nimefanikiwa kumwona, lakini nimepanga kuzungumza na vyombo vya habari nchini kuhusu mazungumzo yangu na Mheshimiwa Lissu kesho (Jumatano), naomba uwe na subra mpaka kesho.”
Kwa uchache Sheikh Ponda amesema, pamoja na kumtembelea Lissu, alipata fursa ya kutembelea Kituo cha Televisheni cha Horizon (HORIZON TV).
Tuesday, 10 October 2017
Home
Unlabelled
Sheikh Ponda: Nimemuona Tundu Lissu, Nimeumia sana kwa hali yake.
Sheikh Ponda: Nimemuona Tundu Lissu, Nimeumia sana kwa hali yake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment