Mbunge wa Mtama, Nape Moses Nnauye amefunguka na kusema kuwa watu hawapaswi kuogopa serikali yao bali serikali ndiyo inapaswa kuogopa watu wake.
Nape Nnauye amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo ametumia maneno ya mwandishi wa vitabu maarufu kutoka nchini Uingereza Alan Moore ambaye mpaka sasa ameshaandika vitabu vingi vikiwepo Watchmen, V for Vendetta na From Hell.
Ujumbe huo alioweka Mbunge wa Mtama uliwekwa kwa lugha ya kiingereza " “People shouldn't be afraid of their government. Governments should be afraid of their people”
Ujumbe ukiwa na maana ya kuwa Watu hawapaswi kuogopa serikali yao bali Serikali inapaswa kuogopa watu wake.
Kufuatia ujumbe huo baadhi ya watu wameungana naye na kusema ndiyo ambavyo inapaswa kuwa huku wengine wakimpa changamoto kiongozi huyo.
Tuesday, 17 October 2017
Home
Unlabelled
Nape Nnauye atoa ujumbe kwa watanzania kuhusu serikali
Nape Nnauye atoa ujumbe kwa watanzania kuhusu serikali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa kumpatia ulinzi Ana-Joyce Francis, mjane mwenye watoto sita,...

No comments:
Post a Comment