Happy birthday Mr President John Pombe Magufuli - KULUNZI FIKRA

Saturday, 28 October 2017

Happy birthday Mr President John Pombe Magufuli

Uongozi wa kulunzifikra blog unachukua nafasi kumpongeza Mhe Rais Magufuli kwa kumbukumbu yake ya siku ya kuzaliwa, mwenyezi Mungu zaidi kukujalia maisha marefu.

Mwenyezi Mungu pia akujalie neema na baraka katika utendaji wako wa majukum kwa Watanzania, Sisi kama chombo cha kuwapasha habari Watanzania tuko nawe siku zote katika ujenzi wa Taifa.

No comments:

Post a Comment

Popular