Waziri mkuu mstaafu wa awamu ya nne na mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Mhe Edward Lowassa akiongozana na mke wake mama Regina Lowassa walifika hospitali ya Nairobi leo Asubuhi kumjulia hali Mbunge wa Singida mashariki na mwenyekiti wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Mhe Tundu Lissu ambaye anapata matibabu nchini kenya.
Mhe Lowassa amekwenda nchi Kenya kumjulia hali Mhe Tundu Lissu baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.
Mhe Lowassa amekwenda nchi Kenya kumjulia hali Mhe Tundu Lissu baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu.
No comments:
Post a Comment