Dar es salaam: Polisi wavamia mkutano wa Sheikh Ponda - KULUNZI FIKRA

Wednesday, 11 October 2017

Dar es salaam: Polisi wavamia mkutano wa Sheikh Ponda

 Polisi wamevamia mkutano wa Sheikh Issa Ponda katika hoteli ya Iris, Kariakoo. Taarifa za awali zinasema baadhi ya waandishi wamekamatwa.

Awali alikuwa anazungumzia kuhusu Matukio ya utekaji, mauaji, kupigwa risasi kwa baadhi ya viongozi wa dini na siasa, tushikamane kukomesha vitendo hivi

“Mimi mwenyewe mwaka 2013 nilipigwa risasi, mwaka huu tena amepigwa Lissu, ninawaomba wananchi tujitokeze ili kukemea,”- Sheikh Ponda

No comments:

Post a Comment

Popular