Zitto kabwe: Serikali ya awamu ya tano inaongoza kufungia magazeti - KULUNZI FIKRA

Friday, 29 September 2017

Zitto kabwe: Serikali ya awamu ya tano inaongoza kufungia magazeti

"Serikali ya Awamu ya 5 inaongoza kufungia magazeti kuliko Serikali zote zilizopita. Sababu za kufungia gazeti la RaiaMwema hazina msingi wowote na ni aibu kubwa.

Ukosoaji unaofanywa na RaiaMwema ni ukosoaji wenye staha unaopaswa kulindwa kwenye jamii yeyote yenye kuheshimu demokrasia.

Kama hutaki kukosolewa huna sifa ya kuwa Kiongozi wa Umma, tena kwenye Nchi ya Wastaarabu kama Tanzania".

No comments:

Post a Comment

Popular