Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi ya kufa mtu kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar
es Salaam leo Jumatano kwa ajili ya maandalizi ya mechi yao ya Jumapili na Mwadui FC.
Kocha wa Simba, Joseph Omog ameonekana kumwandaa Jonas Mkude kwa ajili ya kuanza
kikosi cha kwanza ili kuhakikisha kikosi hicho kinaondoka na pointi tatu.
Simba inapambana kurekebisha makosa yaliyojitokeza kwenye mechi yao ya wikiendi iliyopita baada ya kutoka suluhu ya 0-0 na Azam FC.
Wednesday, 13 September 2017
Home
Unlabelled
Simba yamwandaa Mkude kuiua Mwadui
Simba yamwandaa Mkude kuiua Mwadui
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment