Wakati Mbunge wa jimbo la Singida Mashariki (chadema) Tundu Lissu kesho anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mwingine, fedha zilizochangwa na wabunge hatimaye mchana zimeonekana katika akaunti ya hospitali ya Nairobi.
Lissu ambaye tangu Septemba 7 amekuwa akipatiwa matibabu,katika hospitali hii kesho atafanyiwa upasuaji tena na jopo la madaktari kutazama athari zaidi katika mwili wake.
Akizungumza na kulunzifikra blog mmoja wa wauguzi wa hospitali ya Nairobi, ambaye ameomba kuhifadhiwa jina, amesema upasuaji unahusu eneo la nyonga.
Saturday, 23 September 2017
Home
Unlabelled
Lissu kufanyiwa upasuaji mwingine kesho
Lissu kufanyiwa upasuaji mwingine kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular
-
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION Acacia Mining plc (“Acacia” or the “Company” or the “Group”) Management Changes Ac...
-
Tanzania’s Tunduru district is a major producer of gem-quality sapphire and ruby, along with exotic gems such as alexandrite and tsavor...
-
Moto mkubwa umelipuka na kuunguza soko la wafanyabiashara wadogo wadogo (machinga) katika eneo la Mbagala Rangi Tatu – Dar, asubuhi hii M...
-
Ofisi ya Spika wa Bunge imesema, mpaka sasa haijapokea barua toka kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha...
-
Spika wa zamani, Pius Msekwa amesema Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu hakuwa analazimika kuandika barua kwa Spika wa Bunge...

No comments:
Post a Comment